Sekta ya Filamu na Internet of Things (IoT)

Wote tunafahamu namna matumizi ya intaneti yameweza kuathiri sekta ya filamu. Smart home technology sasa inakupatia matumizi hayo ya kipekee ndani ya nyumba yako kwa kukupatia sauti ya ubora na vifaa vya kuonyesha ukutani (projection equipment).

cinema

Habari nyingine nzuri ni kwamba teknolojia imekua kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba kifaa kimoja kinaweza kubeba vifaa vya kidigitali vingi na kuepusha gharama ya kufunga vifaa vingi. TIS ni moja ya vifaa hivyo vya kijanja vinavyotumia teknolojia ya IoT ambacho kinasaidia watumiaji kusimamia chaneli za mwanga (light channelts), pamoja na mifumo ya kiyoyozi na chaneli za A/V, kwa kutumia kifaa kimoja. TIS technology inakupa suluhisho kadhaa kukuza na kuonyesha ubora, kama vile kinyanyua projector na programu yetu ya KODI Media Center Application kwa kuonyesha NAS HD mubashara.

movie

Sio sinema zote ni za kijanja, hata hivyo. Wakati watu wengi katika sekta ya sinema wanapenda kukaa na kusubiri vifaa bora zaidi vya kidigitali vije, matokeo makubwa ya kimageuzi yanayoonyeshwa baada ya matumizi ya teknolojia ya TIS katika usimamizi wa nyumba ya sinema ni ya kipekee. Katika sinema ya kijanja, rangi za taa za LED zinaweza kuwekwa kwa kulingana na filamu gani inacheza katika skrini yako ubora mkubwa huku ukipata sauti safi katika chumba chako chenye joto sahihi. Punde tu baada ya kubonyeza kitufe, taa zitawaka, na kama ikihitajika, zinaweza kupunguzwa mwanga kwa kubonyeza kitufe kingine tu ili kuendana vizuri na mazingira. Suluhisho za kijanja kama hizi zinakuongeza ushindani katika soko.

outdoor

Katika matumizi madogo, vifaa janja vinaweza kutumika ndani ya chumba chako cha filamu. Hakuna nyumba ya kijanja inaweza kukamilika bila kuwa na vifaa sahihi vya sauti/video ili kuendana na mahitaji ya mtumiaji. Kila mtu anapenda kuwa chumba cha filamu bora bila kuhitaji kuwa na rimoti kama mia moja ndani ya nyumba.

side

Wale wanaotaka kufurahia kiwango cha juu zaidi cha sinema watafurahia spika zetu janja – ndani ya dari, kuta au hata nje – zikiwa zimeunganishwa na msaidizi wa sauti (virtual voice assistant).

Vifaa mbalimbali vya kijanja kutoka TIS vinamuwezesha mtumiaji kutengeneza mazingira safi ya sinema ndani ya nyumba yake na inapendeza zaidi kama kukiwa na mashine ya bisi pia pembeni.

sofa

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK