Malengo yetu ni kuelimisha wataalamu juu ya faida za matumizi ya mifumo ya nyumbani ya kujiendesha na dhana na sera za kutunza nishati ilikuweza kutoa suluhisho bora kutegemea na mahitaji na upendeleo wa kila mteja. Warsha zetu zimejikita katika kuuza, kuainisha, kufunga, kuweka nyaya na kuviwekea program vifaa vya kisasa. Nyongeza, mameneja wetu wazoefu wa TIS wanatoa mbinu za mafanikio za kimasoko.
Kozi za Mafunzo ya Juu huwaz inakuwa na manufaa zaidi baada ya mtu kumaliza mafunzo ya mtandao nipamoja na kukamilisha majaribio na anapokuwa na uelewamzuri juu ya taarifa za msingi. Mafunzoya Juu yanaongeza uelewa wa washiriki juu ya teknolojia ya kujiendesha na kuwasaidia kuelewa kwa undani namna mifumoa kujiendesha yenyewe inavyofanya kazi nje mpaka ndani.
Mafunzoya TIS pia yanatoa wanafunzi wenye ushindani na ujuzi wautendaji juu ya utoaji wa huduma bora kwa mtejana namna ya kuongeza wingi wa mauzo. Wataalamu wa TIS wana kusaidia kupata njia ya mkato ili kufanya biashara yako kuwa na mafanikio na kufikia malengo yako pamoja na kuridhisha wateja wako.
Kozi ya mafunzo haya inachukua siku 3. Muhtasari wa mtaalani kama unavoonekana chini.
Sikuya1:
Utangulizi, kufunganya yana kufunga bidhaa za TIS-BUS, ikiwemoTaa, Vifaa vyenye vya kuzunguka, Mifumo ya Sauti, Viyoyozi, VRV AC, Digital Inputs, Infrared Control
Sikuya2:
Utangulizi, kuwe kanyaya na kufunga bidhaaza TIS-BUS, ikiwemoSaving Energy Logics, Advanced Automation, Messages, Security System, Energy Meter, Weather Station, 3rd party integration.
Sikuya3:
Utangulizi, kufunga na kuuwekea program katikam fumowa TIS-AIR, Kutengeneza programu, Mipangilioya “Alexa” kwa kutumia sauti, Mafunzo yamauzo.
Sikuya4: Hiari
Mafundisho zaidi ya juu kuhusu mauzo na mbinu za kupata masoko zinawasilishwa katika sehemu hii.
Kituo cha mafunzo cha 1. Adelaide, Australia.
Kituo cha mafunzo cha 2. Guangzhou, China.
Kituo cha mafunzo cha 3. Dallas, Texas, Marekani.
Kituo cha mafunzo cha 4. Dubai, United Arab Emirates (UAE).
Kituo cha mafunzo cha 5. Casablanca, Morocco.
Kituo cha mafunzo cha 6. Antalya, Uturuki.
1000 USD kwakilamtummoja
1500 USDkwa kila kampuni (washirikisiozaidiya 3)
500 USD kwa kila mtu mmoja, 750 USDkwa kila kampuni (washiriki sio zaidi ya 3)
Kozi za mafunzo zote zinatolewa bure kwa mawakala wote rasmiwa TIS.
Tafadhali jaza fomu ifuatayo kujisajili na kozi ya mafunzo.
Tutawasiliana na wewe siku 15 kabla kozi haijaanza.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha