Njia ya kisasa, rahisi na bora kuliko zote ya kuendesha mfumo wa kiyoyozi.
VENERA AC Panel imetengenezwa ili kutoa namna rahisi ya kusimamia kiyoyozi chako. Kwa kutumia vitufe vinne, huku ikiwa na kioo cha inchi 1 cha OLED, unabonyeza tu kitufe cha juu/chini kubadilisha joto mpaka kufikia kiwango unachokipendelea. Ili kuhakikisha kiwango cha joto unalolitaka unalipata, ndani ya panel kuna kihisio cha joto kinachoweza kuonyesha joto lililopo kwa sasa na kuhifadhi joto la chumba kadri ya ulivyoweka. Kwa kutumia Venera AC, unaweza kuwasha vileta joto vya sakafuni au FCU unit. Inaweza pia kuwekewa programu na kuendesha split AC au VRV AC.
ONJA URAHISI NA MUONEKANO WA KIFAHARI.
SWICHI YA KUGUSA ISIYOHITAJI WAYA INAKUONYESHA KWELI UFAHARI ULIVYO.
Epuka usumbufu. Ukiwa na TIS Venera thermostat, unaweza kuweka ratiba ya kiyoyozi chako kuwaka kwa kila wiki au kila saa ili kukidhi mahitaji yako.
HAKUNA TENA KUHANGAIKA! RAHISI NA KIULAINI.
UNACHOTAKIWA KUFANYA TU NI KUUNGA WIFI YAKO KATIKA MTANDAO, NA UMEMALIZA.
MGUSO WA UPENDO HUU UMESHINIKIZWA NA TIS VENERA DIMMER.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
Badilisha joto kwa kugusa mara moja tu ukiwa na TIS Venera Thermostat.
Njia ya kisasa, rahisi na bora kuliko zote ya kusimamia mfumo wako wa kiyoyozi.
Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.
Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.
Sio tu swichi ya kupunguza mwanga, lakini ni mita ya umemepia.
Nyuma ya muonekano huu wa kifahari, swichi hii ya kupunguzia mwanga, Inatuza, na kutazama matumizi yako ya umeme kila siku, wiki, mwezi na mwaka.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya kiyoyozi chako kiwake na kuweka joto unalopendelea chenyewe kabla haujawasili.
Tumia thermostat janja kuweka mipangilio katika kiyoyozi chako ili kiwake pale tu utakapohitaji kutumia chumba tu: unaweza kuokoa mpaka 50% ya matumizi yako ya umeme wa kawaida.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha