Afya ni utajiri tosha, jipatie kihisio chetu cha Ubora wa Hali ya Hewa (Air Quality sensor).
Kihisio cha Afya
Kinauwezo wa kugundua kiwango cha hewa ya CO, CO2 na VOC, joto na unyevunyevu, kama kuna mwendo, kiasi cha mwanga na kelele kwa kutumia input 3 za kidigitali, na mistari 32 ya mantiki (lines of logic) na saa(timers). Kifaa hiki ambacho ni suluhisho janja kimebeba vigezo vyote muhimu vya kiafya kukufanya uwe na amani.
Ilinde familia yako dhidi ya Gesi ya CO kwa kupitia kihisio cha afya cha TIS Health sensor. Tunaepusha hatari kwa kukupa taarifa dhidi ya hali hatalishi zisizohitajika.
Kifaa hiki ni rafiki wa hospitali na mfariji kwa wagonjwa kuwahakikishia faraja na usalama.
Kama ilivyo kwa kihisio cha TIS Health sensor kinaunganishwa na kitufe cha dharura, mfumo wa kuita nesi, kihisio cha kelele na pia kuhakikisha ubora na mzunguko wa hewa katika chumba ili kuhifadhi joto na unyevunyevu ndani ya chumba.
Mlinde mtoto wako kadri uwezavyo. Kihisio chetu cha afya (health sensor) kina kipaza sauti ndani yake ambacho kinaweza kusikia na sauti na kukupa taarifa kipindi ambacho mtoto wako akilia.
Watu waendelee kufanya kazi zao. TIS HEALTH SENSOR inahifadhi ubora wa hali ya hewa katika ofisi na kusaidia kuongeza utendaji kazi wa wafanyakazi. Zaidi ya hayo, pia kifaa hiki kina uwezo wa kugundua kelele zisizotakiwa wakati wa kazi za ofisini.
Bidhaa yetu itakuwa ni moja ya vitu vya muhimu kwa ajili ya usingizi wa mtoto wako. Kitakupa taarifa joto ndani ya chumba cha mtoto wako likianza kuongezeka ili kukuwezesha kufanya mtoto wako awe salama na akae kwa starehe.
Okoa $
kwa mwaka.
Kataa kuwa na Kuvu(molds) ukiwa na kifaa cha TIS health sensor. Kinakusaidia kuhifadhi joto na unyevunyevu katika kiwango sahihi ili kuepusha kuvu kuota.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha