KIFAA KIDOGO, MABADILIKO MAKUBWA. TIS inakuletea AIR BUS CONVERTOR.
Je, unafikiria kubadilisha swichi zako za waya na kuwa zisizohitaji kutumia waya? Au kinyume chake?
TIS BUS CONVERTER
Imetengenezwa kuwa daraja kati ya vifaa vinavyotumia waya na visivyotumia, mini converter inakuwezesha kurekebisha kwa haraka na kwa ufanisi na kukamilisha muda huo mara moja. Ikiwa na mipangilio ya anuani ya moja kwa moja, unachohitaji tu kufanya ni kuunganisha converter hii kwenye module yako yenye waya na kuiwekea mipangilio kwa kutumia kifaa cha Android au iOS. Air Bus ni module iliyotengenezwa kuunganishwa kati ya TIS-BUS na vifaa vilivyofungwa na TIS-AIR.
HAKUNA TENA KUHANGAIKA! RAHISI NA KIULAINI.
UNACHOTAKIWA KUFANYA TU NI KUUNGA WIFI YAKO KATIKA MTANDAO, NA UMEMALIZA.
Tunatoa mpango bora kwa wote. Na kuwapa package nzuri.
TIS AIR BUS inabadilisha vifaa kuwa visivyotumia waya na kurahisisha mambo.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Bidhaa ndogo inayofanya vitu vikubwa. Swichi zako za TIS bus zinaweza kutumika bila kutumia waya pia kwa kupitia kifaa cha TIS AIR BUS converter. Mambo makubwa kutoka katika package ndogo.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha