Nguvu Zaidi – Mustarehe Zaidi
Mifumo ya TIS imetengenezwa kusaidia jamii kubwa na za kijanja kupunguza bili za nishati, kuboresha ulinzi na kufanya mazingira ya ndani kuwa ya mustarehe katika nyumba zilizo ndani ya karne ya 21. Teknolojia, kama suluhisho la muda mrefu kwa ajili ya nyumba kujiendesha, ina uwezo wa kuunganishwa na chapa mbalimbali duniani ili kusudi wauzaji, mashirika, manispaa, ofisi za huduma, vyuo, biashara na wazalishaji wa vifaa vya teknolojia ya juu katika soko letu lengwa waweze kuitumia teknolojia hii janja kwa undani zaidi.
Sekta ya viwanda, kuliko zingine, inaweza kufaidika zaidi kama viwanda vidogo vidogo katika soko vitashirikiana kwa ajili ya kutimiza lengo moja: jamii ya kijanja inayotumia nishati kwa ufanisi na kuvutia watalii.
Tunaweka juhudi katika kuungana na chapa bora za kuzalisha vifaa janja, TIS ilianza kuunganisha nguvu na kampuni ya Toshiba, mzalishaji maarufu anayejulikana kwa kutengeneza vifaa vya aina nyingi na suluhishi katika nyumba za makazi, biashara, na miradi ya viwanda. Toshiba ni moja wa waanzilishi wa mageuzi ya IoT (Internet of Things) na mabadiliko hayo na ni heshima kubwa sana kwa TIS Automation Group kuweza kuboresha matumizi ya watumiaji kwa msaada wa kampuni hii.
Kama mradi ukichukuliwa kama blank canvas, TIS + Viyoyozi vya VRF vya Toshiba vinaweza kuugeuza na kuwa sehemu nzuri ya kuvutia kwa muda mfupi sana. Mtandao elevu uliounganishwa pamoja unakuwezesha kusimamia chumba chako kwa namna yoyote uipendayo. Tuungane pamoja kuwa sehemu ya mageuzi ya IoT.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha