TIS's Delhi Training Seminar

Delhi Kumkaribisha Afisa Mtendaji Mkuu wa TIS kwenye Mafunzo ya Teknolojia Janja Aprili 2014.

Kuboresha ubora wa maisha ya mteja akiwa nyumbani na nje kwa kutumia vifaa elevu vilivyowezeshwa na IT pamoja na programu ni msingi wa uzalishaji wetu hapa TIS Automation Group tangu mwanzo. Ili kutimiza lengo hilo, ni muhimu sana kuwaelimisha wataalamu na kutoa nguvu za binadamu katika kukuza huduma.

Programu ya Mafunzo ya TIS kwa kushirikiana na MAYFAIR LIGHTING LLP ilikua ni programu ya mafunzo ya kiteknolojia na kibiashara ya siku-3 iliyoandaliwa kwa ajili ya vijana wasiokuwa na ajira au walio wenye ajira za chini kwa madhumuni ya kuwaandaa kwa soko la kiteknolojia linalozidi kukua katika soko. Programu hii iliandaliwa kwa malengo ya kutoa elimu ya mafunzo juu ya ufanyaji kazi wa programu janja ili kusudi wanafunzi ambao watahitimu mafunzo yao katika hizi kozi wanaweza kutuma maombi ya uuzaji na wawakilishi wa TIS mjini hapo. Lakini pia, kama Mkurugenzi Mkuu wa TIS, Turath Mazloum alivyosema kwa waandishi wa habari, akielekeza kwamba programu kama hizi, ndani ya Delhi, zitapelekea kuwa na mji wa kijanja wenye ufanisi mkubwa sana katika matumizi ya nishati. Hii itatimia kama tukiamini katika kufundisha wahandisi juu ya teknolojia janja na namna inavyotengeneza njia pamoja na kuwa na wananchi wenye taarifa. 

Mafunzo haya yanawapa washiriki vyeti pamoja na ujuzi unaohitajika sana sokoni. Lakini, sio hayo tu; Yafuatavyo ni baadhi ya malengo yetu ya kozi ya mafunzo ndani ya Delhi:

1) Pata teknolojia, pata ujuzi wakifedha na kitaaluma.

2) Njia ya taaluma kwenye fani za teknolojia zenye uhitaji mkubwa.

3) Kushusha gharama za kuajiri watu.

4) Kuwezesha washiriki kuanza kazi mpya kama wafungaji wa vifaa kwenye nyumba janja.

Kupata programu hizi za mafunzi wa TIS katika fani ya umeme, kengele(alarm), IT au HVAC itakuwa ni faida zaidi. Kwa taarifa zaidi tembelea https://www.tiscontrol.com/tptis/En/ad_training.html.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK