Leo ndiyo Kesho.
Miji ya kijanja duniani kote inakuwa na uwezo zaidi ya kutoa Wi-Fi tu bure katika maeneo ya wazi na kuweza kusimamia vifaa vyako kwa rimoti. Hivi sasa ni wazi zaidi namna teknolojia inavyobadilisha biashara na sekta ya ukarimu katika nchi za Kiarabu.
“UAE” inaongoza njia; kupiga hatua mbele zaidi ya kufanya huduma za kiserikali kuwa za kidigitali na kufanya mifumo ya taa za barabarani kujiendesha, UAE inatumia teknolojia ya kijanja kuboresha ulinzi, kukuza usimamizi bila ya kuwepo na kutengeneza “mji wa kijanja” halisi ambapo ufanisi na uendelevu ni nguzo ya kila kitu.
TIS Group inafurahi kutangaza ufunguzi wa ofisi mpya ya TIS ambayo ni TIS Automation FZE ndani ya UAE. Kwa kuwa miji kama Dubai na Abu Dhabi ina nafasi kubwa sana katika miji ya kijanja, na bodi ya menejiment ya TIS inatarajia kwamba kwa kuwa na mawazo ya ubunifu, tunaweza kuchangia katika kuboresha zaidi miji hii mizuri.
Vifaa suluhishi kutoka TIS vimesaidia kutanua wigo: vihisio vingi, panel, digital gates n.k. inawezesha wamiliki wa biashara ndani ya UAE kupunguza bili za umeme, kuongeza muonekano wa kuvutia katika maeneo yao, na pia kufanya vitu kuwa rahisi zaidi kutumia. Mahoteli, migahawa, kumbu za starehe, baa na sehemu zingine kama hizi katika sekta ya ukarimu zimekuwa za kuvutia kwa wageni na rahisi kutumia kwa wamiliki na inaacha kumbukumbu ya kuvutia kwa pande zote. Vivyo hivyo pia katika majengo ya biashara na ya viwanda.
Ofisiza TIS ndani ya UAE zimejitolea kutoa huduma bora kwa watu na serikali na kusaidia kufanya miji ya UAE kung’ara zaidi.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha