TIS Relays sio module kama zingine. Kuna train connection ambayo inaondoa uhitaji wa nyaya nyingi kupitiliza, module hizi zinadumu na zinakuwa katika mfuniko unaoweza kuhimili moto.
Zinakuja pia katika channel na ampere tofauti.
Inatumika kama swichi ya vifaa tofauti, inapatikana na chaneli 4,6,8 na 12 unazoweza kuchagua.
Relay modules zinaweza kuwasha/kuzima taa za nje au za ndani. Washa/zima kifaa cha kuchemshia maji yako ya moto unapotoka katika nyumba yako ya mapumziko au ukiwa katika wikiendi kwa kuwezesha au kuzuia mfumo wako wa ulinzi. Usimamizi wa mapazia na vifunika madirisha (blind) unawezekana kirahisi kabisa kwa uwezo wetu wa kuingiliana (interlocking capability) bila kuhitaji vifaa vya ziada vya kuendesha mapazia.
Relay ya chaneli 6 na amp 3
Moduli ndogo nzuri kiuchumi inatumika kusimamia output 6, kama vile signal contact, mlango, chaneli za taa, jozi 2 za spidi katika feni ya FCU, au jozi 3 za mota za pazia.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha