Badilisha swichi yako. Weka matumizi haya ya IO ndani ya hoteli yako.
Hakuna kitu kinachokaa vizuri zaidi ukutani kwako. Mfululizo huu wa IO unakaa vyema katika boksi lolote la junction.
Kuwasha taa wakati wa giza kamwe haitakuwa tena tatizo ukiwa na TIS IO SWITCH. Tunakupeleka sehemu yenye mwanga.
Tunakurahisishia njia ya kuwasha taa yako kwa vitufe vyenye lebo ya IO ambayo inaongeza urahisi na kukupa rangi na uzuri machoni.
Je, unafahamu ni thermostat gani inayokufaa wewe? IO thermostat yenye AC control ya kuzungusha na mfululizo wa vitufe vya taa/mandhari inaweza kuangaza na kupooza nyumba yako.
Achana na vibao vya zamani vya mlangoni katika hoteli na ukaribishe njia mpya ya kijanja. Tunapeleka uzoefu wako wa hotelini katika kiwango cha juu kwa mfululizo wetu wa kengele za nje za TIS IO outdoor bell ambao unatoa huduma za hotelini za kijanja za kipekee.
Ukiwa na kengele za nje za TIS IO RFID outdoor bell matumizi yako ya hotelini yatakuwa ya kipekee. Gusisha tu kadi, na utaweza kuingia ndani.
Tunatengeneza ili kufikia matarajio yako. Kwa swichi yetu ya kadi ya IO CARD SWITCH yenye kitufe cha huduma za hotelini, hoteli yako itapata sifa zaidi kwa kuwa ya hadhi na rahisi kutumia.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha