Boresha namna unavyotumia vifaa visivyokuwa na waya kwa kutumia TIS AIR 3 CHANNEL DRY CONTACT INPUTS.
ACM-3Z-IN AIR 3 CHANNEL DRY CONTACT INPUTS ni mode ya WiFi inayokuwezesha kubadilisha swichi ya kawaida, na kuwa swichi janja ya kisasa yenye uwezo wa kuendesha kifaa chochote cha TIS Air. Pia, inaweza kuunganiswa na vihisio”sensors”, ikiwemo vihisio vya sumaku vinavyotumika kwa ajili ya ulinzi wa mlangoni na dirishani, N/C N/O PIR detectors, TIS Water Leakage sensors, na taarifa yoyote kavu iliyounganishwa kwake.
Muda mwingine inaweza kuwa vigumu kukubali mabadiliko, lakini kwa TIS sio lazima iwe hivyo.
TIS AIR 3 CHANNEL DRY CONTACT INPUTS ni module ya WiFi inayokuwezesha kubadilisha swichi ya kawaida na kuwa swichi janja ya kisasa inayoweza kuendesha kifaa chochote cha TIS Air.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
Tunajua kile unachokitaka, na tutakupa ubora unaostahili nyumbani kwako. Bidhaa hii inaweza kuunganishwa na kihisio cha moshi au kihisio cha sumaku kwa ajili ya ulinzi wa mlango na dirisha.
Sema hapana kwa wizi!
Weka nyumba yako salama kwa kutumia mfumo wa kuwezesha kengele kujipiga yenyewe pale mtu asiyejulikana anapoingia.
Kaa kwa amani ukiwa na TIS! Hakuna tena kuvuja!
Ina uwezo wa kugundua maji yanapovuja, na itakutumia taarifa moja kwa moja kwenye simu yako.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha