JARIBU BIDHAA HII RAFIKI MKUBWA WA KUOKOA UMEME.
INA KAZI 10 AMBAZO ZINA FAIDA KWA MAISHA YETU YA KILA SIKU.
AIR Energy Servant Sensor
AIR-ES-IR ni kihisio cha mwendo cha aina ya PIR chenye emitters za nyuzi 180. Pia ina logic lines 32 zinazopatikana, ambazo zinaruhusu kuunganishwa na vifaa vingine. Logic yake ina uwezo wa kuokoa umeme kwa kudhibiti hali ya hewa na kuhakikisha matumizi fanisi ya mfumo unapohitajika.
TAZAMA NINI KILICHOPO NDANI YA UBONGO WA KIFAA CHETU CHA 10 AIR SENSOR.
BIDHAA ZINAZOWEZA KUFANYA KAZI TOFAUTI NDANI YA NYUMBA.
UNAWEZA KUPATA KILA KITU NDANI YA BIDHAA MOJA.
MWENZAKO KATIKA NAMNA ZOTE.
WEKA MIPANGILIO KATIKA SAA KWA AJILI YA UANGALIZI WA KIYOYOZI.
WEKA PROGRAMU KATIKA KIYOYOZI IWE NA JOTO UNALOLITAKA.
Taa zinatumia umeme mwingi sana, na kawaida huwa hazihitajiki wakati wa mchana.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
Jisikie mustarehe kwenye nyumba ambayo inahali ya hewa nzuri.
Amani kwa kila mzazi anapotazama kiwango cha joto na usalama wa chumba cha mtoto muda wote.
Usijizuie matumizi yako. Achia TIS ikusaidie kuokoa.
Hatutoi teknolojia hii ya kisasa tu pekee; tunatoa pia bidhaa za kuokoa pia.
Unataka kujua kivipi?
Mfumo wetu janja unaweza kuwekewa programu na kugundua kama hakuna mtu katika chumba na kisha kuzima taa pamoja na kiyoyozi ndani ya chumba hicho moja kwa moja wenyewe. Hii ni moja ya njia bora ya kuokoa umeme na gharama za matumizi.
Chagua kile kilicho bora kwako na kwa familia yako: TIS.
Okoa $
kwa mwaka.
SEMA HAPANA KWA BARIDI KALI KILA MUDA UNAPOKUWA UNAAMKA!
WEKA MIPANGILIO KATI MFUMO WAKO ILI UWEZE KUWEKA JOTO UNALOLIPENDELEA KWA MUDA WOWOTE MCHANA AU USIKU.
Sema hapana kwa wizi
Weka nyumba yako salama kwa kupiga kengele moja kwa moja mfumo unapogundua mtu asiyejulikana ameingia.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha